










Baada ya mauaji ya kinyama ya wanaodai kuwa Waislamu, siku arubaini za huzuni zapita huku macho ya Waumini yatiririka machozi kwa kuondokewa na Mwanazuoni huyo, hitima na Dua ya arubaini ilihudhuriwa Wanazuoni tofauti wakiwemo pia Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Al Mustafa International University.










